Chorus / Description :
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu, Ni Yesu
Jina lako lapita majina yote
Ni jina la Yesu
Yapo majina yalikuwepo ohooh
Lakini jina Yesu linaishi
Jina lako lapita majina yote
Ni jina la Yesu
Yapo majina yalikuwepo ohooh
Lakini jina Yesu linaishi
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu, Ni Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu, Ni Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu, Ni Yesu