Bahati Bukuku - Amewazidi wote

Chorus / Description : Binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu, amewazidi wote
Mabinti wao wamefanya mema ila huyu peke yake, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye mke wangu, amewazidi wote
Katika mabinti niliowaona yeye peke yake, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye, aliwazidi wote
Katikati ya wasomi wengi yeye peke yake, amewazidi wote
Hata nilipotembelea vyuo vyote yeye peke yake, aliwazidi wote.
Nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu, aliwazidi wote

Amewazidi wote Lyrics

Maneno yao umeyasikia, Maneno yao umeyasikia, Maneno yao umeyasikia
Eti wanasema hivi nilivyo si hazi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi sio hazi yako
Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo
Maneno yao umeyasikia maneno yao
Eti wanasema mimi si fanani kuwa na nyumba hiyo
Eti wanasema mimi nilivyo si hazi yako

Hawajui tulianzia wapi hawajui
Hawajui Kuna siri gani hawajui wanavyo tazama majumba hayo hawajui
Hawajui mchango wangu kwako hawajui
Wanavyo kutazama unavyo pendeza hawajui
Hawajui hekima yangu kwako hawajui
Hawajui ushauri wangu umekufikisha hapo
Maneno yao nimeyasikia maneno yao
Hawajui busara zangu zimekupa uonekane
Hawajui maombi yangu ndiyo yana kubeba
Hawajui nafasi yangu kwako hawajui Hawajui busara yangu kwako hawajui
Hawajui ninavyo kuombea hawajui
Wananitazama wanani hukumu ila hawajui

Wanasema sifanani nawe wanasema hawajui maombi ninavyo omba yanakupa cheo
Wanasema maneno yao wanasema, Wanasema maneno yao wanasema
Siku zote tabasamu rangu ni faraja kwako
Ila wanasema hawajui wao wanasema
Maneno mazuri ninayo tamka ukienda kazini
Ndio maana cheo kinapanda ndiyo maana
Ndio maana ofisini una heshima ndiyo maana
Ndio maana unapata nafasi nzuri ndiyo maana
Ndio maana biashara zinakwenda ndiyo maana
Ni Mungu OOH, Ni Mungu Ooh, Nin Mungu

Ushauri wangu kwa wanandoa wote siku zote
Ushauri wangu kwa wanaume wote siku zote
Neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili
Neno hili lisitoke kinywami mwenu neno hili

Binti zao wengi wamefanya mema lakini mke wangu, amewazidi wote
Mabinti wao wamefanya mema ila huyu peke yake, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye mke wangu, amewazidi wote
Katika mabinti niliowaona yeye peke yake, amewazidi wote
Nimewaona warembo wengi lakini yeye, aliwazidi wote
Katikati ya wasomi wengi yeye peke yake, amewazidi wote
Hata nilipotembelea vyuo vyote yeye peke yake, aliwazidi wote.
Nilipotembelea vijiji vyote yeye mke wangu, aliwazidi wote

Ndoa ina siri kubwa ndoa ina , Ndoa ina siri kubwa ndoa ina ,
Ndoa ina siri kubwa ndoa ina , Ndoa ina siri kubwa ndoa ina
Moyo una siri kubwa moyo una , Moyo una siri kubwa moyo una
Moyo una siri kubwa moyo una, Moyo una siri kubwa moyo una

Amewazidi wote Video

  • Song: Amewazidi wote
  • Artist(s): Bahati Bukuku
  • Album: The Meeting Place (Live)
  • Release Date: 23 Sep 2022
By the Stripes Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes

Share: