Chorus / Description :
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza
Nayaa
Baba amesema kwamba tumwite nae atasikia
Tena amesema kwamba tukimwomba jambo atatutendea
Ila tuwe na imani nayeye
Tukiamini anaweza yote eeeeh
Mwenye hofu ajigange moyo
Akiamini Mungu yupo
Huku tukifanya kazi
Tukipambana tukipambana
Tukimwamini wetu mwokozi Yesu wa maana ashushae baraka aaah aaah
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza
Nayaa
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza
Nayaaaa
Palipo na nia pana njia tena hutimia so nenda polepole utafika,Yanini kukimbia eeenh
Fanya magumu kama hujayaona japo yanachoma usijali wewe
Wanaokucheka watapata homa
Pale wakikuona unasonga mbele
Daily mapambano pigana
Ukisaka Day
Wanaokucheka Leo achana nao
Tazama kesho yakooooh
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza
Nayaaaa
Nayaweza
Nayaweza
Nayaweza