Betty Bayo - Highway - Yesu anatengeneza njia

Chorus / Description : High way not just a way, but HighWay
Higher Way
Nina habari njema kwako leo
Yesu anatengeza njia
and It was not just a way, He made a higher way

Highway - Yesu anatengeneza njia Lyrics

Highway Highway
Wana wa Israeli walifika mwisho wao
Mbele ni bahari ya Shamu, Nyuma Pharaoh na Jeshi lake
Kando kuna milima mirefu hawezi vuka
Wakalitia jina la Jehovah, He came and way
It was not just a way, He made a higher way

High way not just a way, but The Way
High way not just a way, but The Way
Higher Way, not just away but The Way

Walikufungia njia ndio usiende Ng'ambo
Wakakuharibia eti usipate mchumba
Wakaenda kwa waganga eti usifanikiwe
Nina habari njema kwako leo
Yesu anatengeneza njia
It was not just a way, He made a higher way

High way not just a way, but The Way X2
Higher Way, not just a way but The Way

Umelia hujui ufanye nini,
Umeomba hujui uende wapi
Marafiki wako nao ndio wamekuhepa
Nina habari njema kwako leo
Yesu anatengeneza njia
and It was not just a way, He made a higher way

High way not just a way, but The Way X2
Higher Way, not just away but The Way

Highway - Yesu anatengeneza njia Video

  • Song: Highway - Yesu anatengeneza njia
  • Artist(s): Betty Bayo


Share: