Chorus / Description :
Eeeh Baba, eeh nifunze
Naomba eeh ee nifunze
Ikiwa sijui kuabudu ee nifunze
Ikiwa sijui utukufu ee nifunze
Kama miaka sita iliyopita
Sikuwa na jina wangeniita
Sikuwa na wimbo mi ningeimba
Sikudhani maisha yangu ingebadilika
Pole pole tu, mi nasonga ju
Unanifunza tu, mwalimu wangu
Isifike mahali Baba mi niringe
Isifike mahali Baba nijiinue
Hizo makofi, hizo mashangwe
Hizo manduru, zisinichanganye
Eeeh Baba, eeh nifunze
Naomba eeh ee nifunze
Ikiwa sijui kuabudu ee nifunze
Ikiwa sijui utukufu ee nifunze
Ninaimba ju uliniita
Nikifika ju pokea sifa
Nisiwe na roho wa kujiringa
Isifike siku nipewe sifa
Pole pole tu, mi nasonge ju
Unanifunze tu, mwalimu wangu
Kujigamba kiburi Baba nikianza
Bila wewe Baba nitazama
Hizo makofi, hizo mashangwe
Hizo manduru, zisinichanganye
Eeeh Baba, eeh nifunze
Naomba eeh ee nifunze
Ikiwa sijui kuabudu ee nifunze
Ikiwa sijui utukufu ee nifunze
Eeeh nifunze, eeeh nifunze