Boaz Danken - Bwana Wewe ni Mwema

Chorus / Description : Bwana wewe ni mwema
Wewe ni mwema
Wewe ni mwema
Wewe ni mwema

Bwana Wewe ni Mwema Lyrics

Bwana wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 

Bwana wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 

Umejawa huruma na upendo 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 

Kwa wema wako ... 
Wewe ni mwema 
Wewe ni mwema 

"BWANA WEWE NI MWEMA- Boaz Danken ft Eliya Mwantondo #GodisReal #PenuelAlbum"

  • Song: Bwana Wewe ni Mwema
  • Artist(s): Boaz Danken


Share: