Chorus / Description :
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu uu, Yesu uu
Yesu uu, Yesu uu
Niko chini ya miguu yako
Inayong'ara kuliko shaba
Nimeinama natamani nikujue
Nione tumaini la mwito wako
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu, Yesu
Yesu, Yesu uuh
Unajua kusamehe, unajua kusahau
Ulijua udhaifu wangu
Ukanipenda hivyo hivyo
Wala hukujali huko nilikotokea
Ukanipenda hivyo hivyo
Jinsi nilivyo
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu uu, Yesu uu
Yesu uu, Yesu uu
Ninapolia wewe ndiwe faraja
Nikipita kwenye moto unapita na mimi
Nikipita kwenye miba unapita na mimi
Kwenye maji mengi uko na mimi
Mpenzi wa kweli hujawai niacha
Kila siku za maisha uko na mimi
Unajua kusamehe, unajua kusahau
Ulijua udhaifu wangu, ukanipenda hivyo
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu uu, Yesu uu
Yesu uu, Yesu uu
Ukaona lugha yangu haitoshi
Ukanipa ya kwako, ili tuongee vizuri
Mimi na wewe
kwa roho mtakatifu sasa nanena
Tunaongea kwa siri mimi na wewe
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu uu, Yesu uu
Yesu uu, Yesu uu