Chorus / Description :
Niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Nataka niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Nataka niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Niuguse moyo wako
Nataka niuguse moyo wako
Nikisahau nafsi yako
Nikuwaze wewe tuu
Ili niuguse moyo wako
Unijaze roho wako
Niwalete wengi kwako
Waje wauguse moyo wako
Sina hitaji lingine
Sina tamanio lingine
Nataka nikwabudu tuu Mungu
Sina hitaji lingine
Sina tamanio lingine
Nataka nikwabudu tuu Mungu
{speaking in toungues/anena kwa ndimi}
Roho mtakatifu chukua nafasi
Siwezi kumgusa Mungu bila wewe
Nataka niuguse moyo wako
Nikisahau nafsi yako
Nikuwaze wewe tuu
Ili niuguse moyo wako
Unijaze roho wako
{speaking in toungues/anena kwa ndimi}
I need You more than anything Jesus
Nipe wewe Yesu
Niuguse moyo wako
Niongozee wewe Yesu
Niuguse moyo wako
Nikisahau nafsi yako
Nikuwaze wewe tuu
Ili niuguse moyo wako
Unijaze roho wako