Chorus / Description :
Wanadamu wote wameshindwa
Wewe Yesu waweza
Dunia yote imeshindwa
Wewe Yesu waweza
Wanadamu wote wameshindwa
Wewe Yesu waweza
Dunia yote imeshindwa
Wewe Yesu waweza
Wewe ni Mungu
Kwa wote wenye mizigo
Hakuna jambo usiloliweza
Wanadamu wote wameshindwa
Wewe Yesu waweza
Dunia yote imeshindwa
Wewe Yesu waweza
Wewe ni Mungu
Kwa wote wenye mizigo
Hakuna jambo usiloliweza
Wewe ni Mungu
Kwa wote wenye mizigo
Hakuna jambo usiloliweza