Christopher Mwahangila - Nasema Asante

Chorus / Description : Nasema asante
Nasema asante
Nasema asante
Ewe Mungu wangu

Nasema Asante Lyrics

Huu wimbo ni wimbo wa shukrani 
Usikie Mungu wangu 
Niseme nini kwako 
Nilipe nini kwako 
Sina cha kulipa mbele zako Mungu wangu 
Huu wimbo ni shukurani ni shukurani kwako 
Iyoo yoo yoo yo

Nasema asante 
Nasema asante 
Nasema asante 
Ewe Mungu wangu 
(rudia *2)

Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe 
Ewe Mungu wangu 
(rudia *2) 

Kwa kazi ya msalaba goligota uliniokota 
Niseme nini mbele zako Bwana wangu nashukuru 
Umenipa heshima umefuta aibu 
Niseme nini mbele zako Baba nashukuru 
Umekuwa wa kwanza umekuwa wa mwisho 
Alfa Omega Baba niwewe 

Wewe ni Alfa na Omega 
Wewe ni Alfa na Omega 
Wewe ni Alfa na Omega 
Ewe Mungu wangu 
(rudia *2)

Wewe Mungu ni Wakwanza na wa mwisho 
Wewe Mungu ni Wakwanza na wa mwisho 
Wewe Mungu ni Wakwanza na wa mwisho 
Ewe Mungu wangu 

Umerejesha yaliyoliwa Bwana 
Na palale na madumadu
Umewaweka chini yangu Bwana 
Adui zangu wote  

Nasema asante 
Nasema asante 
Nasema asante 
Ewe Mungu wangu 

Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe 
Ewe Mungu wangu 

Nasema Asante Video

  • Song: Nasema Asante
  • Artist(s): Christopher Mwahangila


Share: