Mungu Hawezi Kukusahau Lyrics

By Christopher Mwahangila

Lyrics

Ooh Kweli na kwamba Danieli  

Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali 

Ooh Kweli na kwamba Danieli  

Alikuwa katikati ya simba wenye njaa kali 

Mbali na kwamba Shedraki na Abedinego 

Walitupwa kwenye tanuru la moto 

Watu wakajiuliza sana, tulitupa watatu 

Wanne amatoka wapi? 

Askari wakajiuliza, tulitupa watatu 

Wanne amatoka wapi?

Kumbe katikati ya taabu Mungu yupo 

Katikati ya mateso Mungu yupo 

Katikati ya taabu zako Mungu yuko 

Katikati ya vita kubwa Mungu yupo 

Hawezi kukusahau, Hawezi kukumbia 

Oh Mungu wetu hawezi kukusahau 


Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi

(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usife Moyo ndugu wewe

Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usikate tamaa Mungu hawezi 

Mungu hawezi, hawezi

Mungu hawezi kukusahau 

Usijione uko pekee yako, aah 


Kwa nini umepanga kujiua wewe? 

Kwa nini umepanga kuikana imani yako?

Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?

Unaona maisha yamefika mwisho 

Kwa nini umepanga kujiua wewe? 

Kwa nini umepanga kuikana imani yako?

Kwa nini umepanga kwenda kwa waganga wa kienyeji?

Umehangaika sana ndugu 

Ooh unaona kama dunia zima umeachwa pekee yako 

Ninalo neno nataka kusema na wewe 

Ninalo neno nataka kuzungumza nawe 

Hata upitie shida ndugu yangu 

Hata upitie magumu ndugu yangu 

Mungu yuko na wewe katikati ya majaribu 

Mungu yuko na wewe usikate tamaa 

Mungu yuko na wewe usipange kurudi nyuma 

Mungu wee hawezi kukusahau 

Mungu wee hawezi kukukimbia  

Mungu wee hawezi kukuacha wee 

Haweezi haweezi, Hawezi Mungu 


Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi

(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usife Moyo ndugu wewe

Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usikate tamaa, usirudi nyuma 

Mungu hawezi, hawezi

Mungu hawezi kukusahau 



Ninataka nikutie moyo mama yangu wewe 

Ninataka nikutie moyo baba yangu wewe 

Ninataka nikutie moyo ndugu yangu wewe

Mungu hawezi , hawezi kukusahau x2 

Wanadamu wanaweza kukusahau 

Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu 

Wanadamu wanaweza kukukimbia 

Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu 

Wanadamu wanaweza wakakutenga 

Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu 

Wanadamu wanaweza wakakataa 

Lakini sio Mungu, lakini sio Mungu 

Haweezi Mungu wangu, 

Haweezi Mungu wangu, aiyoo


Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Mungu hawezi (Mungu hawezi) hawezi

(Mungu hawezi) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usife Moyo ndugu wewe

Mungu hawezi (Oh Mungu Mungu) hawezi

(oh Mungu Mungu) Mungu hawezi kukusahau 

(Hawezi kuwacha ujifie mwenyewe) 

Usikate tamaa, usirudi nyuma  

Mungu hawezi, hawezi

Usinung'unike

Mungu hawezi kukusahau 

Chris Mwahangila - Mungu Hawezi Kukusahau Gospel Song

Now Playing...