Daddy Owen - Kazi Ya Msalaba

Chorus / Description : Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele

Kazi Ya Msalaba Lyrics

Kazi Ya Msalaba
Baraka Nimepokea, Kwako Nimetulia Mimi
Nisije Tumbukia kwa mambo Ya Dunia
Kwako Nijifiche Milele
Fitina Zanizingira, Anasa Kila Kona
Kwa Mikono Yako,
Niweke Mtakatifu
Tokeo Leo Hadi Milele
Niwe Radhi Mimi, Kwa Makosa Yote
Anipenda, Anijali, Anipenda

Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele
Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele

Ilikuwa Ni Juzi Tu, Mwanzo Kwangu Kutembea
Ukapumzisha Kwangu Kuongonjea
Lakini Kwako Zaidi Nasogea
Nishiriki Nawe Kwa Mazoea
Zile Kwako Ndo Napokea
Nikuone, Kwangu Baba Ukinitendea
Wewe Ndo Wangu Tu Mimi Na Wewe Tu
Nikuone Kwangu Ukinitendea
Wewe Ndo Wangu Tu Mimi Na Wewe Tu
Nikuone Kwangu Ukinitendea

Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele
Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele

Siri Ni Yesu, siri niBaba
Siri Ni Ye, Siri ni Yee
Siri Ni Yesu , Siri ni Yesu

Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele

Kazi Ya Msalaba Video

  • Song: Kazi Ya Msalaba
  • Artist(s): Daddy Owen


Share: