Chorus / Description :
Na ni mwanaume mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na Bwana
Na ni mwanaume mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na Bwana
Mwambie ajitokeze eh ajitokeze eeh eeh
Wacha tumuone akitembea ju ya maji
Na akifanya uponyaji
Samaki elfu tano afanye ugawaji
Popote pote watu watahitaji
Hakuna kama wee, kama wewe Yesu
Nikisimama nimesimama ju ni yako Yesu
Kama wewe Yesu
Na ni mwanaume mgani huyo, mgani huyo
Wa kujilinganisha na Bwana
Mwambie ajitokeze eh ajitokeze eeh eeh
So Nikitembetembea Kwa jina lako
Nikiongeaongea kwa jina lako
Mapepo kemeakemea kwa jina lako
Sio makereakerea...