Chorus / Description :
Nilizunguka zunguka yayaa
Kabla sijakupata nilizunguka
Nilizunguka zunguka yayaa
Kabla sijakupata nilizunguka
Yeah yea yea
Wacha na ijulikane Mungu wangu anaishi
Tangu situpatane sijawai kosa dishi
Wacha na ijulikane Mungu wangu anaishi
Tangu situpatane hatujawai kosa sisi
Ndio maana aiyai aiyai
Kupata kazi kwa ofisi lazima uongee fisi
Na binadamu hawaridhiki lakini kwako Baba
Nilizunguka zunguka yayaa
Kabla sijakupata nilizunguka
Wacha na ijulikane nakutegemea wewe tu
Bila wewe si rahisi kuzunguka daily kwa miguu
Sometimes hata nakosa kuwekea sukuma kitunguu
Na mengine sitasema niwahadithia wajukuu
Ndio maana aiyai aiyai
Nimekuona Baba, nimekuona Baba
Kupata kazi kwa ofisi lazima uongee fisi
Na binadamu hawaridhiki lakini kwako Baba
Nilizunguka zunguka yayaa
Kabla sijakupata nilizunguka
Nilizunguka zunguka yayaa
Kabla sijakupata nilizunguka
Yeah yea yea