Dinu Zeno - Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Chorus / Description : Twonane bandarini kule;
.Nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele;
Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele.
Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena Lyrics

.Nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele;
Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele.
Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu ya Kondoo yule;
Ataishi afurahiye Vya Yesu mbinguni milele.

Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Hata sasa hufurahia Tamu yake mapenzi yale,
Je,kwake tukifikilia, Kutofarakana milele?

Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Twende mbele kwa jina lake, Hata aje mwokozi yule,
Atatukaribisha kwake, Tutawale naye milele.

Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Sauti zetu tuinue Kumsifu Mwokozi yule,
Ili watu wote wajue Wokovu u kwake milele.

Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena Video

  • Song: Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena
  • Artist(s): Dinu Zeno


Share: