Doreen Otipo - Jehovah Mungu Umeinuliwa

Chorus / Description : Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Hakuna mwingine wa kufanana nawewe

Jehovah Mungu Umeinuliwa Lyrics

Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Wewe mfalme wa wafalme
Hakuna Mungu wa kufanana nawewe

Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Ukianzisha jambo unamaliza
Hakuna Mungu wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Miungu ni vinyago* tu
Hakuna mwingine wa kufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Miungu mingine kazi ya wanadamu
Hakuna mwingine wa kufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

kwa wenye shida umeinuliwa
Hakuna tena wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Upendo wako ni wa milele
Hakuna tena wakufanana nawewe
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Wewe huwainua walio wanyonge
Hata kuwaketisha pamoja na wafalme
Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Wewe ni Mungu tena wa milele
Hakuna tena wa kufanana nawewe

Jehovah Mungu umeinuliwa
Hakuna tena wa kufanana nawewe
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa
Umeinuliwa Bwana, umeinuliwa


Jehovah Mungu Umeinuliwa Video

  • Song: Jehovah Mungu Umeinuliwa
  • Artist(s): Doreen Otipo


Share: