Dr Ipyana - Kama Si Mkono Wako

Chorus / Description : Kama si Mkono wako, ningekuwa wapi
If it had not been for your Mighty Hand,where would I be?

Kama Si Mkono Wako Lyrics

Mwamba, Yesu Mwamba, acha nitangaze sifa zako!
Jesus,Rock ages; Let me declare Your praises!

Kama si Mkono wako, ningekuwa wapi
If it had not been for your Mighty Hand,where would I be?

Nimesimama juu ya mwamba,juu ya mwamba
I am standing on the top of the Rock, Rock of Ages!

Umenitenga na dhoruba,umeniweka mahali pa juu
You have separated me from the storm,You have placed me at the top!

Nimesimama juu ya mwamba, palipo na nafasi
I am standing on the top of the Rock, where there is enough space.

Nimesimama juu ya mwamba,umeniweka mahali pa juu
I am standing on the top of the Rock, You have placed me at the top

Umenitenga na dhoruba,umeniweka mahali pa juu
You have separated me from the storm,You have placed me at the top

Umeniinua umeniweka mahali pa juu
You have lifted me up,You placed me at the top

Kama si msalaba,Ningekuwa wap?
If it had not been for Your cross,where would I be?

Kama si rehema zako,ningekuwa wapi?
If it had not been for Your mercies,where would I be?

Kama Si Mkono Wako Video

  • Song: Kama Si Mkono Wako
  • Artist(s): Dr Ipyana
  • Album: Kama Si Mkono Wako - Single
  • Release Date: 30 May 2021
Kama Si Mkono Wako Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: