Lyrics Page

Moyo Wangu - Hauwezi Kukusifu Kweli

By Dr Ipyana + Goodluck Gozbert

5,325 views Sep 11, 2026 updated

Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizo Bwana zikubali 
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizo Bwana zikubali  .

Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali 
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali  .

Hata ndimi eeh Mungu hazitoshi kanwe 
Kukusifu kweli kwa mapenzi yako 
Hata ndimi eeh Mungu hazitoshi kanwe 
Kukusifu kweli kwa mapendo yako  .

Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali 
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli 
Ila sifa zangu hizi Bwana zikubali  .

Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda 
Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda 
Ametenda ametenda, ametenda tena ametenda  .

Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya 
Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya 
Amefanya amefanya, amefanya tena amefanya  .

Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya 
Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya 
Haleluya haleluya, haleluya amen haleluya 

Music Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.