Chorus / Description :
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Ubarikiwe )Ubarikiwe milele
(Fadhili zako) fadhili zako ni za milele
(Utukuzwe) Utukuzwe umetenda mema Baba
(rudia *3)
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
(rudia)
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu
Utukuzwe umetenda mema Baba
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu
Utukuzwe umetenda mema Baba