Chorus / Description :
Nachotaka niwe niwewe tu
Nachotaka niwe niwewe tu
Haja ya moyo wangu Yesu uu
Haja ya moyo wangu Yesu uuh
Nachotaka niwe niwewe tu
Nachotaka niwe niwewe tu
Haja ya moyo wangu Yesu uu
Haja ya moyo wangu Yesu uuh .
Kama ayala atafutavyo maji
Zaidi ya udongo mkavu
Uonavyo kiu kwa tone la maji
Ilivyo nafsi yangu isiposema nawe
Ulivyo moyo wangu nisiposhiriki nawe
Kama samaki nje ya bahari
Sina uhai nje ya hema yako
Nataka nizame nizame
Nizame kwa pendo lako
Nataka nizame nizame
Nizame kwa pendo lako
Nakuhitaji Yesu eeh .
Nachotaka niwe niwewe tu
Nachotaka niwe niwewe tu
Haja ya moyo wangu Yesu uu
Haja ya moyo wangu Yesu uuh .
Nataka nikujue zaidi ya fahamu zangu
Bwana nikuinue zaidi ya hitaji langu
Niloweshe kwa roho nikujue
Sura ung'ae usoni mwangu
Nataka nikutumikie kwa nguvu mpya aah
Kisichowezekana niwezeshee eeh
Ninapopungukiwa nineemeshe
Nakuhitaji Yesu uoo-ooh .
Nachotaka niwe niwewe tu
Nachotaka niwe niwewe tu
Haja ya moyo wangu Yesu uu
Haja ya moyo wangu Yesu uuh