Emma Omonge - Mungu wa Ishara - Uinuliwe

Chorus / Description : Uinuliwe Mungu wa Ishara
Uinuliwe Mungu wa ajabu
Uinuliwe Mungu wa uweza
Uinuliwe Mungu wa ushindi

Mungu wa Ishara - Uinuliwe Lyrics

Baada ya kilio furaha sasa aah
Mafuta ya shangwe ondoa kuomboleza aah
Pahala pa dhihaka leta heshima
Majira na nyakati zote unabaki mwaminifu
Juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini
Uu mwaminifu ee Bwana, eeh Bwana,
U mwaminifu, ee Bwana.

Usiyepuuza kilio cha yeyote, wakubwa kwa wadogo
Maskini hata tajiri, sikio lako halibagui
Ukifuta makosa wala hukumbuki tena
Juu ya neema yako nashangaa ntakulipa nini
Uu mwaminifu ee Bwana, eeh Bwana,
U mwaminifu, ee Bwana.

Uinuliwe Mungu wa Ishara
Uinuliwe Mungu wa ajabu
Uinuliwe Mungu wa uweza
Uinuliwe Mungu wa ushindi

Uinuliwe Mungu wa Ishara
Uinuliwe Mungu wa ajabu
Uinuliwe Mungu wa uweza
Uinuliwe Mungu wa ushindi
Uinuliwe,Uinuliwe


Mungu wa Ishara - Uinuliwe Video

  • Song: Mungu wa Ishara - Uinuliwe
  • Artist(s): Emma Omonge


Share: