Ephraim Sekeleti - Nafsi yangu yakutamani - kama ayala

Chorus / Description : Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.

video by SIMON DAMIANO

Nafsi yangu yakutamani - kama ayala Lyrics

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nijaze, na Roho Mtakatifu;
Niweke, karibu nawe
Nirejeshee, furaha ya wokovu;
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Sung By SIMON DAMIANO
English
As the dear pants for the waters
so my soul longs after you.

Nafsi yangu yakutamani - kama ayala Video

  • Song: Nafsi yangu yakutamani - kama ayala
  • Artist(s): Ephraim Sekeleti


Share: