Ephraim Sekeleti - Uniongoze

Chorus / Description : Uniongoze na huruma zako
Bila nguvu zako siwezi kuenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ii
Kwa mkono wako kweli umenibariki
Kwa mkono wako

Uniongoze Lyrics

Uniongoze na huruma zako
Usipo nibariki siwezi enda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda

Minajuwa bila nguvu zako siwezi kwenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ii
Kwa mkono wako kweli umenibariki

Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ii
Kwa mkkono wako kweli umenibariki

Baraka zako ziwe na mimi,
Mapenzi yako yawe na mimi,
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mkono wako kweli umenibariki, kwa mkono wako kweli umenibariki

Ulinichagua kabla sijazaliwa
Ukanichagua nabii wa mataifa yo
Utaninitangulia siatogopa Chochote

Ulinichagua kabla sijazaliwa
Ukanichagua nabii wa mataifa yo
Utaninitangulia siatogopa Chochote

Baraka zako ziwe na mimi,
Mapenzi yako yawe na mimi,
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mkono wako kweli umenibariki, kwa mkono wako kweli umenibariki

Baraka zako ziwe na mimi,
Mapenzi yako yawe na mimi,
Namacho yako yawe na mimi
Kwa Mkono wako kweli umenibariki, kwa mkono wako kweli umenibariki

Tembea nami ee bwana
Tembea nami baba yoo


Ephraim Sekelet Uniongoze Official Video

  • Song: Uniongoze
  • Artist(s): Ephraim Sekeleti


Share: