Chorus / Description :
Jipe moyo Mungu anakujua
Jipe moyo yu pamoja nawe
Punde si punde ateleta faraja
Punde si punde ateleta faraja
Jibu kwa mahitaji yako
Jibu kwa mahitaji yako oh.
Jipe moyo Mungu anakujua
Jipe moyo yu pamoja nawe
Punde si punde ateleta faraja
Punde si punde ateleta faraja
Jibu kwa mahitaji yako.
Siku zatoshana lakini zote si sawa
Usiku inapokuja lazima kutapambazuka
Kila kitu na wakati wake
Leo ni machozi kesho ni nderemo
Mateso ya mwenye haki ni mengi
Lakini Bwana humponya nayo yote.
Jipe moyo Mungu anakujua
Jipe moyo yu pamoja nawe
Punde si punde ateleta faraja
Punde si punde ateleta faraja
Jibu kwa mahitaji yako
Jibu kwa mahitaji yako oh.
Alisema anawajua walio wake eeh
Na walio wake wanamjua
Anasikia kilio chao nao pia wamsikia.
Ooh wanamuita Baba na anawaita wana
Hata majira yabadilike najipa moyo.
Maana najua Bwana yu pamoja nami.
Hawezi niacha Baba Baba ooh
Jipe moyo Mungu anakujua
Jipe moyo yu pamoja nawe
Punde si punde ateleta faraja
Punde si punde ateleta faraja
Jibu kwa mahitaji yako
Jibu kwa mahitaji yako oh.
Yesu (Yesu)
Mfariji mwema (mfariji mwema)
Yesu (Yesu)
Hawezi kuacha (hawezi kuacha)
Punde si punde ateleta faraja (ataleta faraja)
Jipe moyo Mungu anakujua
Jipe moyo yu pamoja nawe
Punde si punde ateleta faraja
Punde si punde ateleta faraja
Jibu kwa mahitaji yako
Jibu kwa mahitaji yako oh.