Chorus / Description :
Nataka kufanana nawe Bwana
Nakuhitaji Nakuhitaji
(I need thee)
Kijito cha maji ya uzima Yesu
Nakuhitaji Nakuhitaji
(I need thee)
In You I have found Joy
In You there is peace
Which has never been found before
My desire is to please You
And always be a vessel used by thee
Nataka kufanana nawe Bwana
Nakuhitaji Nakuhitaji
Kijito cha maji ya uzima Yesu
Nakuhitaji Nakuhitaji
Nataka kunywa kwako ili nisiwe na kiu tena Bwana
Nakuhitaji Nakuhitaji
Yahweh Yahweh
Wanitosheleza wanitosheleza Bwana
Yahweh Yahweh
Wanitoshelezaa waniotosheleza Bwana
ms 3:3, ms 131:2
Bila wewe nitaenda wapi Bwana
Nakuhitaji nakuhitaji Yesu wangu
Nikiwa mbele zako natulia
Nikiwa mbele zako natulia
Amani yako ni kama chemichemi ya maji
Wewe ni rafiki usiye wa kawaida
Ni kwako tu naegemea
Nikiwa mbele zako natulia
Amani yako ni kama chemichemi ya maji
Wewe ni rafiki usiye wa kawaida
Ni kwako tu naegemea
Jesus I want to be like You
Lord I need thee
LOrd I need thee