Erick Smith - Tumaini Lipo

Chorus / Description : Mola Niwewe tu twagemea .
Lord, we only depend on you.
Tukiwa nawe Kuna hakikisho tutashinda .
With You, there is a guarantee we shall conqueror.

Tumaini Lipo Lyrics

Dunia hii imejaa shida, matatizo.
This world is full of calamities.
Mangojwa ya siyo na tiba ya sumbuwa ulimwengu.
Incurable diseases disrupting the world.
Uchumi nawo wadidimia.
The economy is also collapsing.
Twashindwa tufanye nini.
We are wondering what can be done.

Wengine wetu kazi tumepoteza na lazima bills tulipe.
Some of us we have lost our jobs and we still have bills to pay.
Wengine wetu kazi tumepoteza na lazima bills tulipe.
Some of us we have lost our jobs and we still have bills to pay.

Mola Niwewe tu twagemea .
Lord, we only depend on you.
Tukiwa nawe Kuna hakikisho tutashinda .
With You, there is a guarantee we shall conqueror.

Mola Niwewe tu twagemea .
Lord, we only depend on you.
Tukiwa nawe Kuna hakikisho tutashinda 
With You, there is a guarantee we shall conqueror.

Ni kwako tu twategemea,
We only depend on you.

Tumaini lipo!
There is hope.
Tumaini lipo
There is hope.

Najua huwezi tuacha Bwana
Lord! I know, you will never forsake us.
Tumaini lipo
There is hope.

Hata kama shida zatukumba
Even though we are facing calamities.
Tumaini lipo
There is hope.
Hutatuacha Bwana
Lord, you will never forsake us.
Tumaini lipo
There is hope.
Tunachoomba ni wewe tu uwe nasi
All we plead is you to be with us.

Twajua kila siku yaja na mambo yake
We know every day comes with new things
lakini upendo wako juu yetu twapata tumaini.
But with your love upon us, we find hope.
shida zinazo tukumba hazina nguvu tena. 
The calamities have no power over us.
maana najua msalabani ulibeba yote
For I know, on the cross you carried it all.  

Wengine wetu kazi tumepoteza na lazima bills tulipe.
Some of us we have lost our jobs and we still have bills to pay.
Wengine wetu kazi tumepoteza na lazima bills tulipe.
Some of us we have lost our jobs and we still have bills to pay

Wengine wetu vibarua pia hatuna , baba tutafanya nini?
 Some of us even informal jobs are lacking, what should we do?
Wengine wetu mishahara pia imekatwa 
Some of us our salaries have also been cut downward.

Mola Niwewe tu twagemea .
Lord, we only depend on you.
Tukiwa nawe Kuna hakikisho tutashinda 
With You, there is a guarantee we shall conqueror.

Tumaini Lipo Video

  • Song: Tumaini Lipo
  • Artist(s): Erick Smith

Share: