Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako
Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu
Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako
Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Roho mtakatifu, utujaze uwepo wako
Utufurikie, na utembee pamoja nasi
Roho mtakatifu, utujaze uwepo
Utufurikie, na utembee pamoja nasi
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Mito ya maji inyeshe sasa
Write a review/comment/correct the lyrics of Roho Mtakatifu:
Blessed band my spirit lifted, to God be the glory.