Eunia Simbagoye - Sifa na Utukufu

Chorus / Description : Bwana ni mwokozi wangu
Bwana ni nuruu yangu
Bwana Jehova jile
Mimi ninakupenda
Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako
Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako

Sifa na Utukufu Lyrics

Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako
Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako

Bwana ni mwokozi wangu
Bwana ni nuruu yangu
Bwana Jehova jile
Mimi ninakupenda

Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako
Sifa sifa sifa
Na utukufu ni vyako

Mimi ninakumbuka
Upendo wako wa ajabu
Urimtowa mwana wako wapekee
Kuja kuniokowa
Sitachoka kukuimbia
Mpaka siku ya mwisho
Yesu nikuone
Mungu wa Nazareth

Sifa sifa sifa (sifa zako baba)
Na utukufu ni vyako(yesu)
Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu)
Na utukufu ni vyako

Sifa sifa sifa( uuu sifa zako Yesu)
Na utukufu ni vyako
(oh)Sifa sifa sifa (sifa zako Yesu)
Na utukufu ni vyako

Tutaimba tutacheza tuki muona yesu
Tukimuona alie tufia msalaba
Tutaimba tutacheza tukimuona yesu
Mataifa nayo yatakusanyika,
Tutimba( wa china) tutacheza ( Australia,) tukimuona Yesu ( Tanzania Burundi na Rwanda)
Tutaimba (tutakusanyika) tutacheza (tukiimba) tukimuona Yesu
Ooh tutaimba!
Tutaimba (uuuu) tutacheza tukimuona yesu
Ooh tutaimba
Tutaimba (tutacheza) tutacheza (hallelujah)tukimuona yesu
(Oh tutaimba)Tutaimba ( imba imba imba) tutacheza (tutacheza)tukimuona yesu
(Oh tutacheza ) tutaimba ? oh? tutacheza tutacheza tukimuona Yesu

Sifa na Utukufu Video

  • Song: Sifa na Utukufu
  • Artist(s): Eunia Simbagoye


Share: