Evelyn Wanjiru - Matendo Yako Yanatisha

Chorus / Description : Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha
Matendo yako Baba yanatisha

Matendo Yako Yanatisha Lyrics

Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha
Matendo yako Baba yanatisha

Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha

Nimesikia habari zako
Nashuhudia kazi zako
Yale umetena yote umesema
Ni ishara kwamba wewe ni Mungu

Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha x2

Matendo yako ni kamili
Kazi yako inadumu
Hauchelewi Baba tunapokwitaji
Wewe upo wakati wote

Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha x2

Umesema ukisema ndio
Hakuna wa kupinga, ndio na amina
Ooh Jehovah Baba wee

Matendo yako yanatisha
Matendo yako yanatisha x2

Nasema eeh eeh eeh
Yanatisha Baba
Hakuna kama wewe
Eeh eeh eeh
Unainua Baba
Unabariki wewe, eeh eeh eeh
Unawaketisha na wafalme
Matendo yakoMatendo Yako Yanatisha Video

  • Song: Matendo Yako Yanatisha
  • Artist(s): Evelyn Wanjiru


Share: