Chorus / Description :
Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Pako patakatifu Baba
Napakaribia na moyo wenye ibada
Navunjika mbele zako nikikiri
Wewe ni mtakatifu
Mungu usiye na mfano
Nitaimba sifa zako
Nisimulie makuu yako
Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
Wastahili Ibada yangu
Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili Ibada yangu
Wastahili kupokea utukufu
Heshima na mamlaka
Ni zako ewe Bwana
Nanyenyekea Baba utukuke
Nanyenyekea Baba utukuke
Wastahili Ibada yangu
Wastahili Ibada yangu
Wastahili heshima yangu
Wastahili Ibada yangu