Florence Andenyi - Mwaka Wako

Chorus / Description : Huu ni mwaka wako wakuinuliwa mama
Huu ni mwako wako wa kubarikiwa yelelele
Ni mwaka wako wa kuinuliwa yelele
Ni mwaka wako wakuinuliwa na kupaa juu

Mwaka Wako Lyrics

Huu ni mwaka wako wakuinuliwa mama 
Huu ni mwako wako wa kubarikiwa yelelele 
Ni mwaka wako wa kuinuliwa yelele 
Ni mwaka wako wakuinuliwa na kupaa juu 

Tunapaa juu juu sana 
Tunasonga mbele eeh 
Tunapaa juu juu sana 
Tunasonga mbele eeh  

Hakuna kilio hakuna magonjwa 
Tunasonga mbele na Yesu wee 
Hakuna kilio hakuna magonjwa 
Tunasonga mbele na Yesu wee 
Mwaka huu ni viwango viwango 
Tunasonga mbele na Yesu wee 

Tunapaa juu juu sana 
Tunasonga mbele eeh 
Tunapaa juu juu sana 
Tunasonga mbele eeh  

Mbele tunasonga na Yesu (haturudi nyuma) 
Mbele tunasonga na Baba (haturudi nyuma) 
Mbele tunasonga na Omwami (haturudi nyuma) 
Mbele tunasonga na Bwana (haturudi nyuma) 

Maombi yako yanajibiwa 
Watoto wako watabarikiwa 
Huduma Yako itainulia 

Skiza Tune
TEXT THE WORD SKIZA 7631422 TO 811

Mwaka Wako Video

  • Song: Mwaka Wako
  • Artist(s): Florence Andenyi


Share: