Chorus / Description :
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
Nikueleze jeulivyo na nguvu
Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu
Usife moyo mteule, Ufalme ni wako
U mrithi, pamoja na Yesu
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
Nikuelezeje, hakuachi Bwana
Hadi mwisho, wa dahari
Fungua macho mteule uone mbali
Giza latoweka, pambazuka
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako
Inuka jitie nguvu, simama u mshindi
Tawala una kibali
Msaidizi wako yu ndani yako