Florence Mureithi - Tunakuabudu Mungu Mtakatifu

Chorus / Description : Tunakuabudu Mungu mtakatifu,
Mfalme wa mataifa, sifa ni kwako.
Wewe ni mungu wa haki, Mungu mtakatifu
Mungu mtakatifu unatawala kwa haki, Mungu mtakatifu

Tunakuabudu Mungu Mtakatifu Lyrics

Tunakuabudu Mungu mtakatifu,
Mfalme wa mataifa, sifa ni kwako.
Tunakuabudu Mungu mtakatifu,
Mfalme wa mataifa, sifa ni kwako.

Wewe ni Mungu wa haki, Mungu mtakatifu
Mungu mtakatifu unatawala kwa haki,Mungu mtakatifu
wewe ni Mungu wa uwezo,Mungu mtakatifu

Tunakutukuza, Mungu mtakatifu,
Mfalme wa mataifa sifa ni kwako.
Tunakutukuza, Mungu mtakatifu,
Mfalme wa mataifa sifa ni kwako.

Wewe ni Mungu wa miungu, Mungu mtakatifu,
Nani afanane nawe! Mungu mtakatifu,
Unatawala kwa uwezo, Mungu mtakatifu.

Tunakuinua, Mungu mtakatifu
Mfalme wa mataifa sifa ni kwako.
Tunakuinua, Mungu mtakatifu
Mfalme wa mataifa sifa ni kwako.

Wewe ni mungu wa uwezo, Mungu mtakatifu.
Unatawala kwa haki, Mungu mtakatifu,
Wewe ni bwana wa mabwana, Mungu mtakatifu.
Nani afanane nawe! Mungu mtakatifu.
jehova mungu wa uwezo, Mungu mtakatifu.
Unatawala kwa mamlaka, Mungu mtakatifu.
Ooh Halellujah. Baba twakuinua, Baba twakutukuza,
Mungu mtakatifu wewe Mungu wangu ooh

Tunakuabudu Mungu Mtakatifu Video

  • Song: Tunakuabudu Mungu Mtakatifu
  • Artist(s): Florence Mureithi


Share: