Chorus / Description :
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako Maishani mwangu We ni mwema
Oooh woooh Mungu wangu ni mkuu Oooh woooh
Pozeeee
Nyota yangu imeng?aa asante mola
Mambo yamebadilika asante mola
Sio kwa nguvu zangu mi
Ni kwa nguvu zako wewe tu
Ingekua ni mwanadamu angenionea
Ingekua ni mwanadamu angenionea
Ulivyo nibariki na wenzangu pia uwabariki Ulivyonionekania na wenzangu pia uwaonekanie
Mungu wangu we ni mwema We ni mwema, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivynitendea
Mungu wangu we ni mwema
We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako Maishani mwangu We ni mwema
Gloria:
Nimetua mizigo kwako nimepumzika
Nimeitua msalabani nimepumzika
Kwako nimetulia mie Umenifurahisha
Kuna amani sikupata kwingi ila kwako
Kuna wema kuna favour Ndani yako Mungu wangu msaada wangu ni wee Mungu wangu ujasiri wangu ni wee
Mungu wangu we ni mwema We ni mwema, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivyonitendea
Mungu wangu we ni mwema We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako Maishani mwangu
We ni mwema, Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Sikuwahi jua kijana wa mathare wa salome
Ange heshimika Mungu wangu ni re re
Amenipa maisha bomba yani re re
Nimetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa Nmetambua heri kukuamini kuliko kukuelewa
Niruhusu nikwite kichuna ulichuna shida zangu
Niruhusu nikwite mpenzi ulinipa mapenzi
Mungu wangu we ni mwema We ni mwema, we ni mwema Ukiahidi unatenda unatenda ulivynitendea
Mungu wangu we ni mwema We ni mwema, we ni mwema
Nimeona mkono wako Maishani mwangu
We ni mwema, Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Nakumbuka mi nikiwa houseboy
Ulisema tuliza my boy
Ata kama hizi mashida zilini follow
Back to back mungu wangu nlikuamini
Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema
Because, Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema Ni kwa wema
Yote unayotenda ni kwa wema