Umenifanya Ibada Lyrics

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu

Umenificha sirini,mwako bwana
Nikujue zaidi ya fahamu zangu

Mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamlaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu*2

Umenifanya Ibada,
nikwabudu umenipa kutumika,
chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yako*2

Nasema ndio Ndio*4
Ndio Bwana,bwana ndio bwana,bwana*4

Umenifanya Ibada VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Umenifanya Ibada:

1 Comments/Reviews

  • Samuel Omara

    Wimbo huu unabariki sana unaingia ndani ya moyo wangu.