Chorus / Description :
Yu hai Yesu
Yu hai Yesu
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili
Yu hai Yesu
Yu hai Yesu
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili
Yesu amefufuka kifo
Yesu amefufuka kifo
Amelaani mauti amefufuka kifo
Yu hai Yesu
Yu hai Yesu
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili
Jina lake limeinuliwa juu
Amefufuka anastahili