Guardian Angel - Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi

Chorus / Description : Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi Lyrics

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

Wa kupewa sifa ni wewe 
Wa kuabudiwa ni wewe 
Wa kuhimidiwa ni wewe 
Wa kuheshimiwa ni wewe 

Uliye mwalimu bila shahada 
Uponyeaye bila kusomea dawa 
Pokea hii sadaka ya juu Bwana 
Pokea sala zetu Baba 
Utuondoleae lawama 
Uliyeumba wala hukuumbwa 
Si ni wewe? Si ni wewe? Si ni wewe? 
Ni wewe 

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

Pokea sifa zetu Bwana 
Tunakuabudu Bwana 
Tunakuheshimu Bwana 
Wa kuabudiwa ni wewe 

Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe 
Uketiye kwenye kiti cha enzi ni wewe
Usifiwe, wa kupewa utufu ni wewe

Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi Video

  • Song: Ni Wewe - Uketiye kwenye kiti cha enzi
  • Artist(s): Guardian Angel + Esther Wahome


Share: