Chorus / Description :
Naomba unishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Oh Oooh
Depression ni mutu gani uno!
Na anatoka wapi
Anamaliza watu wa Mungu
Wanakwisha kila siku
Ndoa za watu anazorotesha
Kazi zao wanaipoteza
Baba naomba nishike mkono
Ukiniacha ataniangamiza
Adui mla watu yuko
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe kweli atanimaliza
(*2)
Naomba unishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana nishike mkono
Ukiniacha devil ataniangamiza
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Waliosoma wana mali wana kazi
Wanapanganishwa maisha yao yanakuwa funny
Depression wewe ni nani unaletwa na nani?
Wachana watoto wa Mungu wafanikiwe
Walio chini hata nao wainuliwe
Mambo ya Mungu kwa maisha yao itimie
Itimie eeh itimie
Adui mla watu yuko
Kazi yake ni kuiba kuua na kuangamiza
Ukiniacha mwenyewe kweli atanimaliza
(*2)
Naomba unishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Naomba unishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana nishike mkono
Ukiniacha devil atanifinish mimi
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono
Ukiniacha ataniangamiza
Nishike mkono
Nishike mkono Bwana
Nishike mkono