Henrick Mruma - Ukae Nami

Chorus / Description : Eeh Bwana ukae nami ukae nami milele
Oh Lord, stay with me and stay with me forever

Ukae Nami Lyrics

Eeh Bwana ukae nami ukae nami milele 
Sema milele (milele) 
Ukae nami milele 
(repeat) 

Bwana ni mlinzi wangu 
Uvuli wa mkono wa kuume  
Jua halitanipiga mchana 
Wala mwezi wakati wa usiku

Utanilinda na mabaya yote 
Utanilinda nitokapo na niingiapo 
Sasa na milele 

English Translation 

Oh Lord, stay with me and stay with me forever
(repeat)

The Lord is my protector
The shadow of the right hand
The sun will not beat me during the day
Nor the moon at night

You will protect me from all evil
You will protect me when I leave and when I come in
Now and forever

Tenzi /Hymn(Abide with me )
Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili pekee yangu kaa nami

Ukae Nami Video

  • Song: Ukae Nami
  • Artist(s): Henrick Mruma

Henrick Mruma - Ukae Nami (Official Live Video)

SeedOfFaith #UkaeNami #KaaNami #ASeasonOfHarvest Zaburi 121:5-8 “BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono ...Share: