Mungu wako Atakupigania Lyrics

Mungu wako atakupigania, Mungu wako 
Mungu wako atakupigania, Mungu wako 

Adui zako wote watashangaa, adui zako 
Adui zako wote watashangaa, adui zako 

Watasema umeinuliwa, watasema 
Watasema umeinuliwa, watasema 

Mungu wangu atanipigania, Mungu wangu
Mungu wangu atanipigania, Mungu wangu 

Adui zangu wote watashangaa, adui zangu 
Adui zangu wote watashangaa, adui zangu 

Watasema nimeinuliwa, watasema 
Watasema nimeinuliwa, watasema 

Kumbuka Yusufu aliuzwa na ndugu zake 
Hawakudhani ataishi tena, Mungu ni mwema 

Kumbuka Penina alicheka Mama Hannah 
Mama Hannah hakuchoka kumngoja Mungu 
...

Mungu wako Atakupigania VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Mungu Wako Atakupigania:

0 Comments/Reviews