Hakuna Mungu kama wewe
Wajulikana kuwa una nguvu
Mbingu na nchi hakuna mwingine
Wakuabudu wewe ni Baba Mungu
Hakuna Mungu kama wewe
Wajulikana kuwa una nguvu
Mbingu na nchi hakuna mwingine
Wa kuabudu wewe ni Baba Yangu
Sijaona Mungu kama wewe
Sijapata tena kama wewe
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Sijaona Mungu kama wewe
Sijapata tena kama wewe
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Kwa neno mbingu na nchi viliumbwa
Na vitu vyote vinavyojaza ulimwengu
Vyasimulia uwezo na nguvu zako
Wakupewa sifa zote ni zako Bwana
Sijaona Mungu kama wewe
Sijapata tena kama wewe
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Sijaona Mungu kama wewe
Sijapata tena kama wewe
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Hakujakuwa hakutakuwa
Hakutakuwepo wakuabudiwa ni wewe pekee
Write a review/comment/correct the lyrics of Sijaona Kama Wewe: