Israel Ezekia - Wewe ni mwema

Chorus / Description : Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema

Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,

Wewe ni mwema Lyrics

Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema

Najambelezako mungu wanguu, Nikiwanazo heshima zotee,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema

Muweza yote?
Wewe ni mwema? Haufananishwi, wewe ni mwema baba

Wewe ndiwe baba, wa mataifaa, unatenda mambo yaajabu,
Ninakiri yale uyatendayo, Hakika wewe ni mwema.

Wewe ni mwema? Haufananishwi, wewe ni mwema baba
Wewe ni mwema? Haufananishwi, wewe ni mwema baba

Wewe ni mwema Video

  • Song: Wewe ni mwema
  • Artist(s): Israel Ezekia

Share: