Chorus / Description :
Yesu wanipenda zaidi (zaidi zaidi upendo wako)

Upendo wako mkarimu na mvumilivu
Moyo wangu waujaza, amani tele na furaha
Wewe wa ajabu, Maisha yangu waumba upya

Ahadi zako ni ndio na amina
Si mtu useme uongo
Yesu wanipenda zaidi (zaidi zaidi upendo wako)
Yesu wanipenda zaidi (zaidi zaidi upendo wako)
Yesu wanipenda zaidi (zaidi zaidi upendo wako)
Yesu wanipenda zaidi (zaidi zaidi upendo wako)
Zaidi zaidi zaidi upendo wako
Zaidi zaidi zaidi upendo wako
Asante kwa upendo wako
(Zaidi zaidi zaidi upendo wako)
Asante kwa upendo wako
(Zaidi zaidi zaidi upendo wako )