Chorus / Description :
Sifa na Ibada nakutolea wewe
Umejawa na rehema
Umejawa na nehema
Nakupa utukufu, nakupa na heshima
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
Oooh oooh ooooh
Ooooh ooh oooh
Jane Aller:
Sifa na Ibada nakutolea wewe
Umejawa na rehema
Umejawa na nehema
Nakupa utukufu, nakupa na heshima
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
Sifa na Ibada nakutolea wewe
Umejawa na rehema
Umejawa na nehema
Nakupa utukufu, nakupa na heshima
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
All:
Sifa na Ibada nakutolea wewe
Umejawa na rehema
Umejawa na nehema
Nakupa utukufu, nakupa na heshima
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
Sifa na Ibada nakutolea wewe
Umejawa na rehema
Umejawa na nehema
Nakupa utukufu, nakupa na heshima
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Natua taji yangu nainama mbele zako
Naungana na malaika miguuni kukuabudu
Naungana na maserafi kukuabudu ewe Bwana
Pokea ibada yangu
Pokea milele Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Pokea Ibada pokea Bwana
Manukato ya sifa pokea Bwana
Yote ni yako Yesu
Yote ni yako Yahweh
Yote ni yako mfame
Yote ni yako, yote ni yako
(speaking in tongues)
....