Chorus / Description :
Tumaini langu ni Yesu, Uzima wangu ni Yesu
Ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
Aliyeanzisha kazi ndani yangu
Ni yeye atakayetimiliza aa aah
Hatoacha hatua yangu usongezwe
Ananilinda kusudi lake
Atakako akiniacha yeye yuko nami
Marafiki wakinitenga yeye yuko nami
Atakako akiniacha yeye yuko nami
Marafiki wakinitenga yeye yuko nami
Kama uko kinyume nami jua uko kinyume naye
Maana sikutii utani, aliyeniita ni yeye
Tumaini langu ni Yesu, Uzima wangu ni Yesu
Ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
Tumaini langu ni Yesu, Uzima wangu ni Yesu
Ushindi wangu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
Haijalishi ni mtaa gani umezunguka
****
Ahadi ya Mungu kwako itatimia
Usipokata tamaa moyoni zimia