Chorus / Description :
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Chapati madondo, ugali na mboga
Tulikula pamoja pamoja ...
Nikiangalia kwenye mimi nimetokezea
Mungu kweli umenibarikia
Every time I think about you
I just want to give you praise
Every time I think about you
I just want to give you praise
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
Pokea sifa ah Pokea sifa ah
,,,
Mimi nimetambua kwamba
Kwenye umetoka haijalishi
Kwenye unaenda ndo inajalisha
So keep your focus, your focus
Oh Baba
Kula neno kama dawa
Piga maombi kama tizi
Utaona mkono wa Bwana
Milango atafungua zingine atafunga
Usifikufe moyo yoo-yoo-iyo
Ukiona umefika mwisho
Mungu anaanzia don't you give up
... Your better days are ahead of you...