Chorus / Description :
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu
Usikae mbali nami Bwana
Hawa adui wamepanga njama
Wanasema Mungu amemuacha
Mfuateni mkamateni ?
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Baba usiniache niabike
Nifiche uniokoe
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu
Uhimidiwe Bwana wa mabwana
Neno lako hili Baba ni la kweli
Mfalme wa wafalme
Nimeamini yote usemayo
Neno lako hili Baba ni la kweli
Mfalme wa wafalme
Uhimidiwe Bwana wa mabwana
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Baba usiniache niabike
Nifiche uniokoe
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu
Tegemeo niwe
Tegemeo langu
Usiniache niabike
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Baba usiniache niabike
Nifiche uniokoe
Wewe ni tegemeo langu
Wewe ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu
Nimeamini yote usemayo