Chorus / Description :
Mwenye baraka kuu uu,
Ni Yesu wangu tu,
Ni Yesu wangu uuu
Ask me I know, God sits on the throne
In the highs and lows nimemuona
Sitapungukiwa kitu amenijaza nguvu
Moyo wangu umepona,
I've never been the same since you came my way
In You I live, move and have my being
I've never been the same since you came my way
In You I live, move and have my being
Mkuu mwenye baraka kuu uu
Anado what nobody else can do
Mkuu mwenye baraka kuu uu
AnadU what nobody else can do
Kila niendapo mimi twaenda naye
Siko pekee yangu vita mi ninaye
Kanijaza upungufu kanifany mi nadumu
Nothing in this world can satisfy like you do
I've never been the same since you came my way
In You I live,I move and I have my being
Mkuu mwenye baraka kuu uu
Anadu what nobody else can do
Mkuu mwenye baraka kuu uu
Anadu what nobody else can do
If the Lord is for me
who can stand against me,
Nobody nobody
Mwenye baraka kuu uu,
Ni Yesu wangu tu,
Ni Yesu wangu uuu
Mkuu mwenye baraka kuu uu
Anadu what nobody else can do
Mkuu mwenye baraka kuu uu
Anadu-uu what nobody else can do