Kathy Praise - Hakuna Kama Wewe

Chorus / Description : Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Nakwabudu Mungu eeh
Naungana na Malaika baba
Mtakatifu wa watakatifu
Wakulinganishwa na Wewe,

Hakuna Kama Wewe Lyrics

Nakwabudu Mungu eeh
Naungana na Malaika baba
Pamoja na maseraphi ewe
Makerubi na wazee ishirini na wanne
Kusema hakuna kama wewe eeh

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Wakulinganishwa na Wewe,
Wakusimama kando yako,
Wakusimama juu yako, hakuna
Aliye na nguvu kama Wewe
Anayetupenda kama Wewe
Anayetulinda, hakuna
Anayetujali sisi
Anayetupa tunapoomba
Anayejibu maombi, hakuna

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Mtakatifu wa watakatifu
Uliyeketi kwenye kiti cha Enzi
Hakuna mwingine kama Wewe Baba
Hakuna anayetawala, eieeh
Unayeponya magonjwa ya kila aina
Saratani na kisukati, hata ukimwi
Hakuna jambo ngumu kwako
Wazitatua shida zetu
Wazifahamu wewe Baba, twakwabudu
Umetupa afya njema
Umetulinda usiku kuccha
Umekuwa rafiki wetu, wa karibu

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Unayefarithi waliofiwa
Nakutufuta machozi
Unayetupa Amani Baba, twakwabudu
Unayesamehe dhambi Jehovah
Unayeweka roho zetu huru
Unafungua minyororo, ya shetani
Twakimbilia kwako ewe Baba
Msaada wetu ni wee
Tegemeo letu ni wee
Ieeh, Messiah

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe

Hakuna Kama Wewe Video

  • Song: Hakuna Kama Wewe
  • Artist(s): Kathy Praise + Kathy Praise


Share: