Subira Lyrics

by Kenty MOG | in Swahili

Mmh punde tu shule alipomaliza aliaidiwa atapata ajira
alishamaliza na sasa mika imepita haoni kama ndoto
yake itakamilika Mm Shiro naye anatamani ndoa
wenzake wote washaolewa anaona miaka inazidi songa
anashindwa yuko wapimchumba analia tu we oiyoyoyo
kilio tu we oiyoyoyo

Baba tupe na subira sisi wana wako twakulilia
Baba tupe na subira ahadi zako ni kweli na amina

*Tusavau tu we obugu migiriza x4

Wengine kwa kukosa subira wanatumia dawa za kulevya
wengine kwa kukosa subira wanawatembelea waganga
Ai wengine kwa kukosa subira wanaishia magerezani
wengine kwa kukosa subira aa wajitoa uhai ii

Baba tupe na subira sisi wana wako twakulilia
Baba tupe na subira ahadi zako ni kweli na amina

Subira VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Subira:

0 Comments/Reviews